Thursday, May 5, 2016

FUNDI MITAMBO WA REDIO BOMBA FM 104.0 MBEYA ATISHIA KUJIUWA KWA MADAI YA KUDAI MSHAHARA WAKE....

Fundi Mitambo wa Redio Bomba Fm 104.0 iliyopo Jijini Mbeya Jina lake Limehifadhiwa alileta tafrani Mchana wa Leo Mara baada ya Kupanda Juu ya Mtambo wa Redio hiyo Nakutishia kujitupa Chimi kwa Madai ya kuitaji Kulipwa Pesa zake kutoka kwenye kituo hicho cha Redio kilichopo maeneo ya Block "T" Jijini Mbeya...
Fundi Mitambo wa Redio Bomba Fm ambae jinalake limehifadhiwa akiwa juu ya Mnara wa Redio hiyo huku akisikika kusema "Mpaka Kieleweke Leo nataka Pesa Zangu..."
Mpaka Kieleweke...
Baadhi ya wakazi na Wananchi wa Jiji la Mbeya wakishuhudia tukio hilo...
PICHA ZOTE NA MR.PENGO MMG MBEYA.

No comments: