All Right Receved by MR.PENGO 2016

Friday, April 29, 2016

MICHUZI BLOG YATOWA VIFAA VYA MICHEZO KWA TIMU YA M.P FC JIJINI MBEYA......

Muwakilishi wa Globu ya Jamii Bwana Fadhiri Atick a.k.a Mr.Pengo ambae pia ndiye Msimamizi Mkuu wa Timu ya Vijana wenye Umli wa Chini ya Miaka 18 akikabidhi Jezi kwa Vijana wa timu ya M.P FC (Mr.Pengo Football Club) Waliopo Jijini Mbeya wenye Vipaji vya kucheza Mpira wa Miguu.
Kutoka Kulia ni Fadhili Atick a.k.a Mr.Pengo akiwa na Kijana wake Dominick katika Picha ya pamoja mara baada ya Kuwakusanya Vijana wenye Vipaji vya Kucheza Mpira wa Miguu na kuunda Timu kwa Vijana wenye Umri chini ya Miaka 18 kwa Lengo la Kuwaandaa na  kuwaepusha Vijana kutofikiri au Kutenda Mambo Mbalimbali yasiyo Faa katika Jamii kama kuvuta Bangi, Kucheza Kamali, Wizi na Udokozi, kuwaweka vijana kuwa Ngangari na pia kuendeleza Vipaji kwa Vijana hao.
Baadhi ya Wachezaji wa Timu ya Mr.Pengo Football Club (M.P FC) wakiwa katika Pozz
Post a Comment