All Right Receved by MR.PENGO 2016

Monday, April 25, 2016

HARMONIZE SIMBA MTOTO KUFANYA MAKAMUZI YA NGUVU MISS MBEYA 2016 TAREHE 20-05-2016 NDANI YA PARADISE INN HOTEL.....
    Pichani ni Mwanamuziki wa Muziki wa Kizazi Kipya anae tamba kwa Nyimbo kadhaa kutoka WCB Harmonize anaetarajiwa kufanya Makamuzi ya Nguvu katika Kilele cha kumpata Mshindi wa Shindano la Miss Mbeya 2016 lililo andaliwa na Redio Dream FM 91.3 Mbeya kwa kushilikiana na Michuzi Blog, Pepsi, Ufunuo Clinic, Access Computer Limited, Viva Night Club, Milo Group Limited, New karim Hardware, City Pub, Paradise Inn Hotel, Club K-Mo, Ace Classic Wear, Ally Rich Sanaa Art, New Mama Land Pub, Beaco Resort na Manyanya Inn Hotel and Tours  na wasanii wanaofanya vizuri Nyanda za juu Kusini nao pia wataangusha bonge la shoo si yakukosa hiii ni Tarehe ishirini ya Mwezi wa Tano 20-05-2016 na sio Tarehe Sita tena....
Baadhi ya Washiriki wa Shindano la Miss Mbeya 2016 wakiwa katika Pozz la Pamoja wakipata Taswira Mwanana...
Washiriki wa Shindano la Miss Mbeya 2016 wakiendelea kupata Taswira kutoka kwa Mpiga Picha Mahiri Nyanda za Juu Kusini Mr.Pengo hayupo Pichani...
Washiriki wa Shindano la Miss Mbeya 2016 wakiendelea Kujinoa kuajiri ya Shindano la kumpata Miss Mbeya 2016 linalo letwa kwenu na Redio Dream FM 91.3 Mbeya kwa kushilikiana na Michuzi Blog, Pepsi, Ufunuo Clinic, Access Computer Limited, Viva Night Club, Milo Group Limited, New karim Hardware, City Pub, Paradise Inn Hotel, Club K-Mo, Ace Classic Wear, Ally Rich Sanaa Art, Mzee wa chimbo blog, New Mama Land Pub, Beaco Resort na Manyanya Inn Hotel and Tours 

Post a Comment