All Right Receved by MR.PENGO 2016

Friday, March 11, 2016

TAHADHARI:UGONJWA WA KIPINDUPINDU WAINGIA MJINI SUMBAWANGA MKOANI RUKWA WATU ZAIDI YA SITA WALIPOTIWA KUWA NA UGONJWA HUO.

Wakazi wa mji wa Sumbawanga watakiwa kuchukua taadhari juu wa ugonjwa wa mlipuko wa Kipindupindu ili kuepukana na madhara ya ugonjwa huo.

 Watu zaidi ya Sita wanaripotiwa kuwa na ugonjwa huo na wamefikishwa katika hospitali ya mkoa wa Sumbawanga kwajili ya matibabu.

 Serikali ya mji huo wa Sumbawanga imewataka wakazi wote wa mji huo kuchukuwa taadhari juu ya ugonjwa huo kwa Kunawa mikono yao kabla ya kula chakula na baada ya kula na 
 kufanya usafi wa mazingira.

Pia wameaswa kuwakataza watoto wao kucheza katika mitaro ambayo haitiririshi maji machafu (inayotuamisha maji) na tahadhari zinginezo kujikinga na Ugonjwa huo uliopo hivi sasa Mjini Sumbawanga Mkoani Rukwa.
Post a Comment