All Right Receved by MR.PENGO 2016

Friday, March 11, 2016

DUKA LA KAMERA LA KAMPUNI YA JUMBO LAZINDULIWA JIJINI DAR ES SALAAM LEO.

 Meneja mauzo kampuni ya Jumbo Camera House Ltd, Mathias Luoga akizungumza na wadau mbalimbali wa Kamera pamoja na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo wakati wa uzinduzi wa duka la kampuni ya Jumbo Camera House Ltd linalouza kamera za picha za mnato, picha za mjongeo, mabegi na vitu mbalimbali vya kamera, duka lililopo jengo la Benjamini Mkapa Tower Posta jijini Dar es Salaam.
 Muonekano wa duka la kampuni ya Jumbo Camera House Ltd linalouza
linalouza kamera za picha za mnato, picha za mjongeo, mabegi na vitu mbalimbali vya kamera.
Mkurugenzi Mtendaji, Paul Buckendahl akizungumza wakati wa uzinduzi wa duka la kampuni ya Jumbo Camera House Ltd linalouza kamera za picha za mnato, picha za mjongeo, mabegi na vitu mbalimbali vya kamera duka lililopo katika jengo la Benjamini Mkapa Tower Posta jijini Dar es Salaam.Kushoto ni  Meneja mauzo kampuni ya Jumbo Camera House Ltd, Mathias Luoga.
Mkurugenzi Mkuu wa kampuni ya Jumbo Camera House Ltd, Sara Filikunjombe(wa kwanza kulia) akiwa katika picha ya pamoja na wadau mbalimbali leo katika uzinduzi wa Duka la Kamera katika jengo la Benjamin Mkapa Tower jijini Dar es Salaam leo.
 Mgeni Rasmi, Lita Paulsen (wakwanza kushoto) na Mkurugenzi Mkuu wa kampuni ya Jumbo Camera House Ltd wakifungua  shampaini katika hafla ya uzinduzi wa duka la kamera lililopo katika jengo la Benjamini Mkapa Tower Posta jijini Dar es Salaam leo.
Mgeni Rasmi, Lita Paulsen (wakwanza kushoto) na Mkurugenzi Mkuu wa kampuni ya Jumbo Camera House Ltd wakigonganisha glasi za shampeni katika uzinduzi wa duka la kamera lililopo katika jengo la Benjamini Mkapa Tower Posta jijini Dar es Salaam leo.
Picha na Avila Kakingo wa Globu ya Jamii.
Post a Comment