All Right Receved by MR.PENGO 2016

Thursday, January 7, 2016

MIONEKANO MBALIMBALI YA TASWIRA KUTOKA JIJINI MBEYA....

Kamera yetu ikiangazia Taswira mbalimbali za Jiji la Mbeya hii leo..., Pichani hapo juu ni kipita Shoto kikuu cha Mkoa wa Mbeya kilichopo katikati ya Jiji la Mbeya njiapanda ya Sokomatola, Uyole, Uhindini na Uzunguni..
Utulivu mwanana Baarabara ya Uhindini..
Pilika pilika za hapa na pele katika Stendi ya Daladala Kabwe Jijini Mbeya...
PICHA NA MR.PENGO MBEYA.
Post a Comment