Sunday, January 3, 2016

AKUTWA AMEFARIKI UPENUNI MWA NYUMBA JIJINI MBEYA.......

Kijana Mmoja Jijini Mbeya ambee hakuweza kutambulika kwa Majina akutwa Amefariki upenuni mwa Nyumba Mtaa wa Mwamfupe \Jijini hapo nakukutwa katika hali ya Umauti ni pale ambapo Wananchi wa Mtaa huo Mapema leo Asubuhi waliukuta Mwili huo katika Eneo la Nyuma ya Nyumba Mtaani hapo, na kueleza kuwa "Mtu huyo si Mkazi wa Eneo hilo bali Jioni ya jana waliomuona Mazingira hayo akiwa katika hali ya kupepesuka Pepesuka kotokana na kunywa Pombe na huenda hicho ndicho kilicho pelekea Kifo chake kwani alikuwa si Ngangali katika Afya..." hivyo ndivyo walivyo sema wana  Mtaa wa Mwamfupe walipo kuwa wakizungumza na Mwandishi wetu.
Baadhi ya Wanachi wa Mtaa wa Mwamfupe wakidhadhiana jambo katika Eneo la Tukio.
Huzuni  umetawala Eneo hilo..
Wanachi sambamba na Wenyenyumba zilizo zunguka Eneo hilo la Tukio wakisubiri msaada kutoka Jeshi la Polisi.
\Picha na Fadhiri Atick - Mr.Pengo Mbeya.

No comments: