All Right Receved by MR.PENGO 2016

Thursday, November 19, 2015

TASWIRA MBALI MBALI KUTOKA BUNGENI MJINI DODOMA....

Wabunge wa Songea Mjini (CCM), Leonidas Gama (kushoto), Nzega Vijijini (CCM) Dkt. Hamis Kigwangala (katikati) na Sixtus Mapunda wa Mbinga Mjini (CCM) wakibadilishana mawazo nje ya ukumbi wa Bunge mjini Dodoma muda mfupi kabla ya kuanza kwa mkutano wa Bunge hilo leo
Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye na Mbunge wa Viti Maaalum (CCM) Munde Tambwe wakizungumza jambo nje ya ukumbi wa Bunge mjini Dodoma muda mfupi kabla ya kuanza kwa mkutano wa Bunge hilo leo
Mbunge wa Kigoma Kaskazini (CCM), Peter Serukamba (kulia) akibadilishana mawazo na Mbunge wa Busega Raphael Chegeni nje ya ukumbi wa Bunge mjini Dodoma muda mfupi kabla ya kuanza kwa mkutano wa Bunge hilo leo
Wabunge wa Viti Maalum (CCM) wakiingia katika ukumbi wa Bunge mjini Dodoma tayari kuanza mkutano wa kwanza wa Bunge hilo leo.
Mbunge wa Bariadi Magharibi (CCM) Andrew Chenge (kushoto) na Mbunge wa Mwanga (CCM) Prof. Jumanne Maghembe wakiiingia wakiwasili katika viwanja vya Bunge mjini Dodoma tayari kuanza mkutano wa kwanzawa Bunge leo.
Mbung e wa Viti Maalum kutoka Chama cha Wananchi (CUF) Riziki Saidi Lulida akiapa kiapo cha Uaminifu.
Baadhi ya wabunge wa Chama cha Wananchi (CUF) wakimshangilia mbunge mwenzao Riziki Saidi Lulida bada ya kula kiapo cha Uaminifu.
Mbunge wa Ilala Musa Azan Zungu akiapa.
Mbunge wa Butiama Mhe. Nimrod Mkono akiapa.
Baadhi ya wageni wa wabunge walioapishwa wakiingia na kutoka Bungeni.
Mbunge wa Arumeru Magharibi Joshua Nassari akiapa.
Baadhi ya wabunge wakipata maelekezo kutoka kwa mhudumu wa Bunge (kulia).
Wabunge wa Viti Maalum wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Amina Mollel (kushoto) na Stella Ikupa Alex (kulia) akiwasalimiana na mmoja wa wabunge baada ya kumalizika kwa kikao cha Bunge. Picha na Hussein Makame.
Post a Comment