All Right Receved by MR.PENGO 2016

Sunday, October 11, 2015

TASWIRAZZ MBALIMBALI ZA BINTI YETU ASHA IBRAHIMU KATIKA MAHAFIRI YA DINI YA KISLAMU KUHITIMU KIDATO CHA NNE.

Binti yetu Asha Ibrahimu katika pozi mara baada ya kusherehekea sherehe ya mahafari ya kidini kuhitimu kidato cha nne, sherehe hiyo ilifanyika Tarehe 10-11-2015, katika shule ya sekondari Usongwe mbeya vijijini iliyo jumuisha shule tatu za ukanda wa Mbalizi Mbeya vijijini.Picha na Fadhiri Atick-Mr.Pengo.
Binti Asha Ibrahimu akiwa ameketi huku mkononi akiwa amekamatia cheti chake cha jumuiya ya kislamu(TAMSYA)
Binti Asha Ibrahimu wakwanza kulia Sanjari na Marafiki wake wa karibu katika Picha ya Pamoja.
Kutoka kulia ni muhitimu Asha Ibrahimu, Mjomba wa muhitimu Fadhiri Atick-Mr.Pengo na bi dada jina lake limehifadhiwa ambaye ni Rafiki wa karibu wa Binti Asha Ibrahimu na Muhitimu pia.

 Mapozz.


 mashostiiiiieeee.

Post a Comment