All Right Receved by MR.PENGO 2016

Thursday, October 29, 2015

ELLY CLASSIC PRODUCER ANAYECHIPIKIA VIZURI KATIKA KAZI YAKE YA KUTENGENEZA BEATS.....


Ni Producer anaye chipukia kwa kasi katika kazi yake ya kutengeneza beats kali na za akili karibu sana na ufanye ngoma kwake kwani yupo vizur sana katika kazi hiyo baada ya kufanya naye mahojiano ya muda mfupi alisema "Katika kazi yake hiyo ya uproducer imempa umaarufu katika nyanda za juu kusini MBEYA na kafanya baadhi ya ngoma na wasanii wa mbeya pia alisema kuwa anawakaribisha wale wote wanaotaka kufanya ngoma au kutengenezewa Beats" alisema Elly Classic

No comments: