Friday, September 11, 2015

TASWIRA MBALIMBALI ZA MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA MBEYA MJINI CCM SAMBWEE SHITAMBALA ALIPO KUWA KATA YA MAANGA KATIKA KAMPENI ZAKE...

                                                                                         
Mgombea Ubunge Jimbo la Mbeya Mjini Sambwee Shitambala Kupitia Chama cha Mapinduzi Ccm akishangiliwa na baadhi ya Wanachama wa chama cha mapinduzi ccm Kata ya Maanga Jijini Mbeya alipo kuwa katika kampeni zake za kuomba ridhaa ya kuchaguliwa kuwa Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini kupitia Chama chake cha Ccm.Picha Zote na Fadhiri Atick a.k.a Mr.Pengo Mbeya.
Meneja kampeni wa Mgombea Ubunge Jimbo la Mbeya Mjini Kupitia Chama Cha Mapinduzi Ccm ndugu Charles Mwakipesile akizungumza jambo katika mkutano wa adhara wa kampeni Ulio fanyika katika Kata ya Maanga Jijini Mbeya.
Mgombea Ubunge kupitia Chama Cha Mapinduzi Ccm Mh.Sambwee Shitambala akizungumza na Wananchi wa kata ya maanga Jijini Mbeya, katika mkutano wa adhara wa kampeni ya kumba kuchaguliwa kuwa Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini kwa Tiketi ya Chama cha Mapinduzi Ccm.
Baadhi ya Wanachama na Wananchi wa Kata ya Maanga wakipunga Mikono.

No comments: