All Right Receved by MR.PENGO 2016

Saturday, September 19, 2015

MBEYA CITY YABUGIZWA NA PRISON KWA KUFUNGWA GORI 1-0...

Kikosi kazi cha Timu ya Tanzania Prisons katika Picha ya Pamoja leo katika uwanja wa Sokeine Jijini Mbeya katika Mtanange wa Ligi kuu ya Vodacom Tanzania Bara ambapo Timu ya Tanzania Prison iliibuka mshindi kwa kuwafunga Mbeya City fc Bao moja kwa Sifuri 1-0, ambapo Mchezaji wa Timu ya Tanzania Prison Jumanne Elfadhili dk ya 32 ndiye aliye ipatia ushindi Timu hiyo ya Tanzania Prison baada ya kupokea pande kutoka kwa Salum Kimenya.
Gori kipa machachali wa Timu ya Tanzania Prisons Aron Kalambo akiwa amedaka Mpira huku akiwa amezungukwa na Mchezaji wa Timu ya Mbeya City David Kambole Shoto na Wachezaji Salum Kimenya mwenye Jezi Nambari 14 Mgongoni Sanjari na Jumanne Elfadhili..
Mtanange ukiendelea katika Uwanja wa Sokeine Jijini Mbeya ambapo Tanzania Prison iliibuka kidedea kwa kuibugiza Mbeya City fc Gori 1-0.

Post a Comment