All Right Receved by MR.PENGO 2016

Tuesday, September 8, 2015

HIVI NDIVYO BIRTHDAY PATY YA MR.PENGO ILIVYO NONA JIJINI MBEYA.

Kutoka shoto ni Mpiganaji Fadhiri Atick a.k.a Mr.Pengo akimlisha Keki Mama yake Mzazi Stumai Maneno kama heshima katika Hafla ya Sherehe ya kuzaliwa kwa mwana Libeneke Fadhiri Atick kutimiza Miaka kadhaa iliyo fanyika nyumbani kwao huko jijini mbeya jana Tar.07-09-2015.
Kutoka kulia ni Tecla Rashid na Fadhiri Atiki akizungumza jambo katika Hafla hiyo....
Kutoka Shoto ni Mrs.Lweja akimpongeza Mwanalibeneke Fadhiri Atick a.k.a Mr.Pengo Katika HafLa hiyo ya kusherehekea Siku ya Kuzaliwa kwa Fadhiri Atick Kutimiza Miaka kadhaa,,,
Ankal Ramadhani Maneno kulia akimpongeza bwana Fadhiri Atick kwa kutimiza Miaka kadhaa.ilifana sana picha zote na Iblaa The Best na Ecky The Best, Dj Kauzu.
Post a Comment