All Right Receved by MR.PENGO 2016

Tuesday, August 4, 2015

TASWIRA MBALI MBALI KATIKA MKUTANO MKUU WA CHADEMA UNAOFANYIKA KWENYE UKUMBI WA MLIMANI CITY, JIJINI DAR...

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Freeman Mbowe (wa nne kulia) akiwa ameshikana mikono na Mgombea wa Urais alieteuliwa na chama hicho, Mh. Edward Lowassa (wa tatu kulia) pamoja na Mgombea Mwenza wake, Mh. Dkt. Juma Haji Duni (mwenye suti nyeusi) pamoja na wanachama wapya wa Chama hicho, wakati wakitambulishwa kwenye Mkutano Mkuu wa Chama hicho, unaoendelea kufanyika hivi sasa kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Mlimani City, Jijini Dar es Salaam.
Picha ya pamoja.Post a Comment