All Right Receved by MR.PENGO 2016

Sunday, August 2, 2015

HIVI NDIVYO SHEREHE YA HAKIKA YA ISLAAH RASHID ATICK ILIVYO FANA HUKO JIJINI MBEYA LEO..

Islaah Rashid aliyefanyiwa sherehe ya hakika leo nyumbani kwao jijini mbeya kwa lengo la kutambulika katika dini ya kiislamu kama ambavyo dini ya kiislamu inavyo elezea juu ya sherehee hiyo ya hakika kwa watoto pindi wanapo kuwa wanazaliwa kunzia siku arobani na kuendelea kwa kuchinja mbuzi wawili (2) kwa kijana wa kiume na mbuzi mmoja (1) kwa mtoto wa kike...Picha zote na Fadhiri Atick a.k.a Mr.Pengo Mbeya..
kutoka shoto ni kijana Islaah Rashid akiwa na dada yake Sabrina wakiwa wameshika sadaka kwenye kibaba...
 Dua ya hakika ikiongozwa na ustadh msafiri kutoka msikiti wa mafiati...
Mbuzi wa hakika sambamba na maandazi na asali ikiandaliwa na shangazi wa kijana Islaah aendae kwa majina Salma Atick mrs.Msafili..
kutoka shoto ni Sada Atick.Tukupasya Kapalila, Soniva mihayo, Mama David na Stumai Maneno katika picha ya pamoja jikoni..


n hivi ndivyo mambo yalivyo kuwa..

Post a Comment