Saturday, August 8, 2015

MAAJABU MTOTO MIAKA MITATU (3) AKICHEZA NA NYOKA AINA YA CHATU..

Huyu ndie Mtoto Mwenye miaka Mitatu (3) Mwenye uwezo wa kucheza na Nyoka aina ya Chatu ni jambo la kushangaza kwa mtoto huyu kucheza na nyoka na ni jamba lililo washangaza wengi katika banda la maonyesho ya Nanenane Jijini Mbeya...
Mtoto huyo akichezea Meno ya chatu huyoo..
Hapo akinyanyua Nyoka hiyo aina ya Chatu kumuweka begani..
Nyoka akiwa kwenye Bega la Mtoto huyoo
Watu walio tembelea banda hilo (hawapo pichani) wakipata picha kuajili ya kumbukumbu..
Mtoto huyo akifanya yake na Chatu huyo huku akifurahia jamboo..


 Nyoka huyo akiwekwa kwenye box lake...

No comments: