All Right Receved by MR.PENGO 2016

Wednesday, July 22, 2015

SIMU TV: HABARI KUTOKA VITUO MBALIMBALI VYA TELEVISHENI...

SIMUTV:Rais Kikwete apokea joho na cheti cha shahada ya heshima ya udaktari wa falsafa hii leo kutoka Chuo Kikuu Cha Dar Es Salaam. http://youtu.be/jFVHtSkPzNw
 SIMUTV:Mvutano mkali wazuka baina ya wagombea ubunge wa CCM mkoani Singida kufuatia gharama kubwa za fomu ambazo ni shilingi milioni 3. http://youtu.be/3Fh-njsFCms
 SIMUTV:Nchi za jumuiya ya Afrika Mashariki iko katika mchakato wa kuweka viwango vya ubora wa mazao ya kilimo cha bustani.http://youtu.be/WL4i13KR8S0
 SIMUTV:Makampuni makubwa ya ndani yaombwa kuyasaidia makundi maalum ili yaweze kujiendeleza badala ya kutegemea misaada kutoka nje. http://youtu.be/HKUPVO5QXKI
 SIMUTV:Makampuni makubwa ya ndani yaombwa kuyasaidia makundi maalum ili yaweze kujiendeleza badala ya kutegemea misaada kutoka nje. http://youtu.be/HKUPVO5QXKI
 SIMUTV:Nchi za jumuiya ya Afrika Mashariki iko katika mchakato wa kuweka viwango vya ubora wa mazao ya kilimo cha bustani ukiwa ni mkakati wa kulinda walaji na soko la nchi wanachama. http://youtu.be/WL4i13KR8S0
 SIMUTV:Tafurani yazuka mkoani Geita baada ya balozi wa nyumba kumi kudaiwa kuchukua taarifa muhimu za vitambulisho vya wapiga kura wa eneo lake. http://youtu.be/fJWhDme3bcc
 SIMUTV:Baraza la biashara kufunguliwa mkoa wa Kigoma wilaya ya Kibondo ili kutoa fursa za biashara kwa wekezaji.http://youtu.be/fh1bE_Ys9xI
 SIMUTV:Serikali imezitaka Taasisi za kifedha pamoja na benki kusaidia jitihada za kutatua changamoto ya makazi inayoikabili Tanzania. http://youtu.be/7H0koBBad7k
 SIMUTV:Benki ya CRDB na kampuni ya Maxcom Africa waingia mkataba wa makubaliano ambao utawezesha kampuni hiyo kutoa huduma za kibenki. http://youtu.be/RWwM9NLGseg
 SIMUTV:MBunge wa CHADEMA Mh.Tundulisu, asema UKAWA imekwisha mpata mgombea uraisi huku akibainisha kazi iliyobaki ni kupata mgombea mwenza. http://youtu.be/ivMMxIuuDHI
 SIMUTV:Ripoti yaeleza kwamba takribani watoto laki 4 kote nchini wanaugua ugonjwa wa saratani huku wakikabiliwa na changamoto ya kupata matibabu. https://youtu.be/ivMMxIuuDHI
 SIMUTV:Ripoti yabaini ongezeko la usugu wa bacteria anayesababisha homa ya mapafu ambaye ndiye chanzo kinachoongoza kusababisha vifo vya watoto chini ya miaka 5. http://youtu.be/5H348F0G1-Q
 SIMUTV:Benki ya wananchi ya Mufindi MUCOBA yatarajia kuzindua mauzo ya hisa zake katika soko la awali la hisa mwishoni mwa mwezi huu. http://youtu.be/YqSXSOo8hTs
 SIMUTV:Shirika la ndege la Fast Jet latarajia kuzindua safari mpya za ndegekuelekea nchini Malawi kuanzia tarehe 27 mwezi huu.http://youtu.be/JJhHaePZ_SE
 SIMUTV:Mswada wa sheria ya gesi wa mwaka 2015 uliopitishwa na bunge hivi karibuni mjini Dodoma wapongezwa kwa kutoa mwanga wa rasilimali hiyo. http://youtu.be/wRtxG_8RrA8
 SIMUTV:Rais Kikwete apokea joho na cheti cha shahada ya heshima ya udaktari wa falsafa hii leo kutoka Chuo Kikuu Cha Dar Es Salaam. http://youtu.be/jFVHtSkPzNw
 SIMUTV:Wananchi wa kijiji cha Bokwa  mkoani Tanga watoa ombi kwa Rais Kikwete kuwatatulia mgogoro wa mpaka kabla ya kumaliza mda wake. http://youtu.be/TInAQNQ_Kzw
 SIMUTV:Mahakama kuu mkoani Mara imewatia hatiani watu watatu kunyongwa hadi kufa kwa kosa la kumuua Bi.Tabu Makanya kwa makusudi. http://youtu.be/uG_a6isOKLc
Post a Comment