All Right Receved by MR.PENGO 2016

Wednesday, July 22, 2015

AZAM FC WALIVYOICHAPA 2-0 MALAIKA YA SUDAN KUSINI JANA JIJINI DAR ES SALAAM....

Mshambuliaji wa Azam FC, John Bocc akimtoka beki wa Malaika ya Sudan katika mchezo wa Kombe la Kagame uliofanyika jana kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Azam imeshinda 2-0. (Picha na Francis Dande)
mchezji wa Azam FC, Shah Farid Mussa akimtoka beki wa Malaika, David Stephen.
 Beki wa Azam FC, Shomari Kapombe akiwatoka wachezaji wa timu ya Malaika katika mchezo wa Kombe la Kagame uliofanyika jana kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. 
 Beki wa Azam FC, Shomari Kapombe akiwania mpra na beki wa Malaika, Yengo Son Ngum katika mchezo wa Kombe la Kagame uliofanyika jana kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Azam imeshinda 2-0.
 Beki wa Azam FC, Shomari Kapombe akiwania mpra na beki wa Malaika, Yengo Son Ngum katika mchezo wa Kombe la Kagame uliofanyika jana kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Azam imeshinda 2-0.
 Beki wa Azam FC, Shomari Kapombe akichuana na beki wa Malaika, Yengo Son Ngum katika mchezo wa Kombe la Kagame uliofanyika jana kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Azam imeshinda 2-0.
 Wachezaji wa Azam FC wakipongezana baada ya Kipre Tchetche kuipatia timu yake bao la 2.
Mashabiki wa Azam FC wakishangilia timu yao.
 Mshambuliaji wa Azam FC, Kipre Tchetche akimtoka  beki wa Malaika Lubari Zeriba Ibrahim.
  Mshambuliaji wa Azam FC, Kipre Tchetche akimtoka  beki wa Malaika Lubari Zeriba Ibrahim..
  Mshambuliaji wa Azam FC, Kipre Tchetche akimtoka  beki wa Malaika, Lubari Zeriba Ibrahim.
  Mshambuliaji wa Azam FC, Kipre Tchetche akimtoka  beki wa Malaika Lubari Zeriba Ibrahim.
 Mshambuliaji wa Azam FC, Kipre Tchetche akimtoka  beki wa Malaika Lubari Zeriba Ibrahim.
 Mshambuliaji wa Azam FC, Kipre Tchetche akimtoka  beki wa Malaika Lubari Zeriba Ibrahim.
 Abbas Mudathir Yahaya akichuana na beki wa Malaika, Yengo Son Ngum.
 Beki wa Malaika, David Dada Stephen akichuana na mchezji wa Azam FC, Shah Farid Mussa.
  Beki wa Malaika, David Dada Stephen akichuana na mchezji wa Azam FC, Shah Farid Mussa.
  Mchezji wa Azam FC, Shah Farid Mussa katikati akiwatoka wachezaji wa Malaika.
  Mchezaji wa Azam FC, Shah Farid Mussa akichuana na beki wa Malaika, David Dada Stephen.
 Mchezaji wa Azam FC, Shah Farid Mussa akichuana na beki wa Malaika, David Dada Stephen.
Mchezaji wa Azam FC, Shah Farid Mussa (kulia) akichuana na beki wa Malaika, David Dada Stephen.
Post a Comment