All Right Receved by MR.PENGO 2016

Saturday, July 11, 2015

MKUTANO WA HALMASHAURI KUU YA CCM WAANZA MJINI DODOMA....Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akifungua Mkutano wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, unaoendelea hivi sasa kwenye Ukumbi wa White House, Makao Makuu ya CCM, Mjini Dodoma.

 Wajumbe wa Mkutano wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Mh. Edward Lowassa na Mh. Bernard Membe wakisalimiana kabla ya kuanza kwa Mkutano huo kwenye Ukumbi wa White House, Makao Makuu ya CCM, Mjini Dodoma leo.
 Wajumbe wakizungumza, kuhu wakipa picha wakiendea kupata taswira za Wajumbe hao.
Post a Comment