All Right Receved by MR.PENGO 2016

Saturday, July 11, 2015

HIVI NDIVYO HALI ILIVYO KARIAKOO LEO KUELEKEA SIKUKUU YA IDD EL-FITRI.....

  Wananchi wa jiji la Dar es Salaam wakiwa katika harakati za kutafuta mahitaji kuelekea sikukuu ya kuhitimisha mwezi mtukufu wa Ramadhani.
 Mzigo ukishushwa tayari kwa kuuzwa.
Msongamano wa magari  katikati ya kariakoo jijini Dar es Salaam.
Hapa ni maongezi ya biashara na kununua tuu.
Hapa ni hatari zaidi kwa wakazi wa jiji la Dar es Salaam maeneo ya mtaa wa Congo.
Picha zote na Avila Kakingo,Globu ya Jamii.
Post a Comment