Sunday, July 12, 2015

MAGUFULI AIBUKA MSHINDI KUPEPELUSHA BENDELA YA CCM KUWANIA URAIS KUPITIA CHAMA CHA MAPINDUZI CCM.

Dkt.John Pombe Magufuli ndie aliye ibuka kidedea kwa kuteuliwa na chama cha mapinduzi ccm leo kwa kuwashinda wagombea wenzake kwa ushindi wa wajumbe wa chama cha mapinduzi walio mpigia kura kwa kupata kura (2104) ni sawa na asilimia (87.1), Dkt.John Pombe Magufuli ndie atakae kwenda kushindana na vyama vya upinzani kulingania kiti cha urais Octoba 25 mwaka huu kwa tiketi ya chama cha mapinduzi ccm..



No comments: