All Right Receved by MR.PENGO 2016

Friday, May 1, 2015

SHEREHE ZA MEI MOSI ZILIVYOFANA JIJINI DAR LEO.

 Maandamano ya maadhimisho ya siku ya wafanyakazi (Mei mosi), yaliyofanyika katika viwanja vya Uhuru jijini Dar es Salaam leo.
Maandamano ya maadhimisho ya siku ya wafanyakazi (Mei mosi), hawa ni chama cha wafanyakazi mashambani na kilimo Tanzania tawi la TPAMU makao makuu wakiwa katika viwanja vya Uhuru jijini Dar es salaam leo.
 wafanyakazi wa Bandari ya Dar es Salaam wakiwa na kauli mbiu ya DOWUTA kauli moja na Nguvu imara,wakiwa katika viwanja vya Uhuru jijini Dar es salaam leo.
 Wakiwa katika viwanja vya Uhuru jijini Dar es salaam leo kusherekea Sikukuu ya wafanyakazi wakiwa na kauli mbiu ya MFANYAKAZI NENDA KAJIANDIKISHE KURA YAKO NDIO MAENDELEO YA TAIFA LETU.
 Wenyeji wa sikukuu ya wafanyakazi CWT TEMEKE wakiwa na kauli mbiu ya "Uboreshaji wa daftali la wapiga kura uende Sambamba na ulipaji wa madeni  sugu ya wafanyakazi"


 Wakiwa katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam, wakiwa na kauli mbiu 
Post a Comment