
mdau akitathmini baadhi ya viatu kilingeni kwake.
rumbesa la pamba nyepesi za leo leo mwanjerlwa.
mama akijaribu kusasambua nguo muhimu za ndani.
matunda yakiandaliwa mapemaa kando kando ya stendi ya mabasi ya mzunguko eneo la kabwe.
pilika pilikaza hapa na pale.
mzee wa matunda maji (matikiti) na kiwekwa chake.
baadhi ya abiria wakisubiri usafiri...
kondakta katika pozi golini kwake.
Stendi ikiwa imechanga mka.
No comments:
Post a Comment