All Right Receved by MR.PENGO 2016

Tuesday, April 21, 2015

USIKU WA SHUKRANI KWA WASANII BERDON MNYAMA NA ZAX 4 REAL ULIFANA KWA KUONGOZWA NA KAPTEIN SAMBWEE SHITAMBALA KATIKA UKUMBI WA GORDEN CITY HOTEL JIJINI MBEYA.

 Kamptein sambwee shitambala advocate akizungumza jambo na baadhi ya wadau, na wasanii wa muziki mkoa wa mbeya katika tafrija iliyo fanyika hivi karibuni katika ukumbi wa gorden city hotel sae jijini mbeya na hii ni baada ya kuzindua albamu ya msanii berdon mnyama iendayo kwa jina la "Jionee",iliyo sapotiwa na media mbali mbali ikiwemo vituo vya radio zote za jiji la mbeya sambamba na Michuzi Media Group.picha na Fadhiri Atick (Mr.Pengo) globu ya jamii Mbeya.
 Msanii anae fanya vizuri katika tasnia ya muziki wa kizazi kipya Berdon Mnyama ambae ndie alie zindua albamu yake hivi karibuni iendayo kwa jina la Jionee akizungumza na baadhi ya wadau na wasanii wa muziki wa kizazi kipya katika hafra hiyo iliyofanyika hivi karibuni jijini mbeya.
 Shoto ni mh.Sambwe Shitambala akipokea cheti cha shukrani kutoka kwa wasanii Berdon Mnyama, na Petronia kwa lengo la kumpongeza Mh.Sambwe Shitambala kwa kazi kubwa anayo ifanya juu ya kudhamini na kuwajari vijana hususani wasanii katika tasnia mbalimbali mkoani mbeya.
 baadhi ya wasanii na wadau wa sanaa walio hudhuria katika hafra hiyo iliyo fanyika hivi karibun jijini mbeya.
                                               DJ SPEED ON THE MIX.
                                             BERDON MNYAMAAAAA AKITUSUAA.
 Kamati nzima ya south side music ikiongozwa na bwana Agrey kati na Sigger Skillar kulia ndani ya mjengo.
             Berdon na kipunga chake alicho pewa na mh.shitambala akinyolifya kwa wadau wake.
hivi ndivyo ilivyo kuwa.

No comments: