All Right Receved by MR.PENGO 2016

Tuesday, April 21, 2015

MTU MMOJA AFARIKI DUNIA MALA BAADA YA KUANGUKA GHAFRA ENEO LA UWASIBU JIJINI MBEYA.Mtu mmoja mkazi wa pambogo afariki dunia mchana huu mala baada ya kudondoka ghafra katika eneo la mafiati njia panda karibu na chuo cha uwasibu jijini mbeya, mashuhuda wa tukio hilo wamezungumza na mwandishi wetu na kuseme kuwa, mtu huyo alikuwa katika mtembezi yake akiwa amebeba mfuko akitembea kando kando ya barabara na kuanguka ghafra kutokana na kupata kizunguzungu hatimae mauti kumfika akiwa amedondoka chini.picha na Fadhiri Atick wa globu ya jamii Mbeya. 
                             Baadhi ya mashuhuda waki shuhudia tukio hilo.
 huu ndio mwili wa marehemu aliefunikwa  kwa kitenge na alietambulika kwa jina la (Baba Lugano).
                      watu wakiwa katika tukio hilo wakijaribu kuwasiliana na ndugu wa marehemu.
                                   hivi ndivyo hali ilivyo kuwa jijini mbeya leo.
Post a Comment