Sunday, April 12, 2015

TASWIRAZZ MBALIMBALI ZA MTANANGE WA MAVETERAN WA SOKA WA BARCELONA NA TANZANIA ULIOPIGWA UWANJA WA TAIFA.

Wachezaji wa zamani wa timu ya Barcelona ya Hispania wakiongozwa na Patrick Kluivert (aliebeba mtoto) wakiingia uwanjani tayari kwa kukipiga na timu ya Tanzania Veterans katika mchezo wa kirafiki uliopigwa kwenye uwanja wa Taifa, Jijini Dar es salaam. hadi mwisho wa mchezo, Barcelona ya Hispania ilishinda bao 2-1.PICHA ZOTE NA OTHMAN MICHUZI
Mchezaji wa zamani wa timu ya Barcelona ya Hispania, Patrick Kluivert akifurahia jambo na Mtoto mwenye Ualbino kabla ya kuanza kwa mchezo wao wa kirafiki dhidi ya Tanzania Veterans uliopigwa kwenye uwanja wa Taifa, Jijini Dar es salaam.
Katika mchezo huo, pia kulikuwa na ujumbe wa Harakati ya Imtosha ikiwa ni kupiga vita mauaji ya watu wenye Ualbino nchini.





















No comments: