Kanali Mstaafu Fabian Inyasi Massawe (kushoto) akipokea zawadi ya wananchi wa Mkoa wa Kagera |
HISTORIA FUPI.
Kanali Mstaafu Fabian Inyasi Massawe kabla ya kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kagera alifanya kazi mbalimbali na mahali pengi akiwa na uzoefu mkubwa wa uendeshaji na usimamiaji wa shughuli za umma. Kabla ya kuwa mwanasiasa amekuwa ni Afisa wa Jeshi la Wananchi Tanzania, Mtaaluma na Mwanamichezo.BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI.
No comments:
Post a Comment