All Right Receved by MR.PENGO 2016

Saturday, April 25, 2015

MBEYA CITY YAICHAPA KAGERA SUGER BAO 2-0 LEO JIJINI MBEYA.

Mbeya city yaibuka mshindi kwa kuwachapa kagera sugar bao mbili (2) kwa sifuri uwanja wa sokoine jijini mbeya katika mashindano ya ligi kuu ya vodacom inayo endelea kote nchini, goli la kwanza lilitokana na penati iliyo pigwa na Raphael Alfa mara baada ya goli kipa wa kagera sugar kufanya madhambi kwa mchezaji wa mbeya city dakika ya (45) katika kipindi cha kwanza, na Deus Kaseke kuongeza bao la pili katika kipindi cha pili. 
mtanange ukiendelea Mbeya city yaibuka mshindi kwa kuwachapa kagera sugar bao mbili (2) kwa sifuri uwanja wa sokoine jijini mbeya katika mashindano ya ligi kuu ya vodacom inayo endelea kote nchini, goli la kwanza lilitokana na penati iliyo pigwa na Raphael Alfa mara baada ya goli kipa wa kagera sugar kufanya madhambi kwa mchezaji wa mbeya city dakika ya (45) katika kipindi cha kwanza, na Deus Kaseke kuongeza bao la pili katika kipindi cha pili. picha na Fadhiri Atick (Mr Pengo) mbeya. 
mchezaji wa mbeya city peter mwalianz akiugulia konde.
Gori kipa wa kagera sugar Agathon Anthon akiwa katika lango lake.


                                               goooooooooooollllll.
wachezaji wa mbeya city fc wakishangilia goli la pili.
baadhi ya mashabiki kinazi wa timu ya mbeta city fc.

No comments: