All Right Receved by MR.PENGO 2016

Sunday, April 12, 2015

BASI LA NGANGA NA LORI YATEKETEA KWA MOTO KATIKA AJARI ILIYOTOKEA LEO MAENEO YA IYOVI.


Basi la Nganga linalofanya safari kati ya Mkamba, Kidatu kwenda Mbeya imepata ajali mbaya mapema leo maeneo ya kona za Iyovi baada ya kugongana na lori la mizigo aina ya Fusso na kuwaka moto magari yote, inadaiwa kwamba ni idadi ya watu wachache sana wamepona kwenye ajali hiyo na idadi kubwa wameteketeka kwa moto huo.

Chanzo cha ajali hiyo bado hakijafahamika mpaka sasa.
Hivi ndivyo hali ilivyokuwa katika ajali hiyo.
Post a Comment