Wednesday, March 25, 2015

YANGA YAIPIGISHA KWATA JKT RUVU UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR, KWA KUICHAPA BAO 3 - 1.

 Mshambuliaji wa Yanga, Danny Mrwanda akichuana na Damas Makwaya wa JKT Ruvu (kushoto), katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika Uwanja wa Taifa leo.
Msuva akimtoka beki wa JKT Ruvu, Mohamed Faki akiambaa na mpira.
 Mrisho Ngasa (kushoto) akichuana na Mohamed Faki.
 Damas Makwaya akimtoka Danny Mrwanda.

 Wachezaji wa Yanga wakishagilia baada ya kuifunga JKT Ruvu.
 Raha ya ushindi.
 Uleeeeeeeeeeeeee.
 Yanga mwendo mdundo.
Mshambuliaji wa Yanga, Simon Msuva akimpigia saluti Mrisho Ngasa mara baada ya kuifungia timu yake bao la tatu dhidi ya JKT Ruvu katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Yanga imeshinda 3-1.
 Mashabiki wa Yanga wakishangilia.

No comments: