All Right Receved by MR.PENGO 2016

Thursday, February 19, 2015

YANGA YAITWANGA TANZANIA PRISONS GOLI 3-0 LIGI KUU YA VODACOM JIJINI MBEYA KATIKA UWANJA WA SOKOINE.


 Kikosi cha yanga fc ambao wameibuka mshindi kwa kuwachalaza Tz Prisons goli tatu kwa bila ambapo dakika ya 4 simon msuva alifungua lango kwa kutumbukiza goli la kwanza hatimae mchezaji wa Tz Prisons kuwapatia goli lingine tena yanga fc kwa kujifunga dakika ya 11 na mwisho simon msuva jezi nambali 27 mgongoni kuhitimisha kwa kuwa chapa goli la tatu katika mtanange wa ligi kuu ya vodacom ulio fanyika katika uwanja wa sokoine jijini mbeya picha zote na Fadhiri Atick a.k.a Mr Pengo globu ya jamii nyanda za juu kusini.
  kikosi cha tanzania Prisons wakiwa katika picha ya pamoja kabla ya mechi kuanza
  vijana wa huduma ya kwanza wakiwa tayari kwa lolote uwanjani hapo.
                                                mashabiki wa yanga fc.                         yanga fc iki shangilia bao la kwanza.

 mchezaji kiungo wa yanga Andrey cotinho akipepea na mpila
                                                             apiti mtu hapa.


                 Fanya fujo uone kama kawaida uwanjani.


                                                  mtanange ukiendelea

Post a Comment