Wednesday, February 25, 2015

WAZIRI MKUU PINDA AENDELEA NA ZIARA YAKE JIJINI MBEYA

Waziri Mkuu,Mh. Mizengo Pinda akisalimiana na baadhi ya viongozi wa vyama vya siasa na vingozi wa serikali wakati alipowasili katika soko la mwanjelwa Februari 25,2015 tayari kwa uzinduzi wa soko hilo ambalo linaloendelea kujengwa jijini Mbeya.Picha na Fadhil Atick,Globu ya Jamii.
Waziri Mkuu,Mh. Mizengo Pinda akipewa maelezo mafupi ya maendeleo ya soko hilo kutoka kwa mkandalasi wa ujenzi wa Soko hilo.
            baadhi ya mafundi wanao endelea na ujenzi wa soko la mwanjelwa jijini mbeya.
  jiwe la msingi.
Waziri Mkuu,Mh. Mizengo Pinda akiwasalimia wananchi wakazi wa jiji la Mbeya (hawapo pichani) wakati akiwa katika ziara yake jijini hapa.
               burudani ya sarakasi kutoka katika kikundi cha sarakasi kihumbe jijini Mbeya.
                                           mambo hayo ya sarakasi.
Wanahabari wakiendelea kuchukua matukio wakati Waziri Mkuu akihutubia.
Mbunge wa Viti Maalum mkoa wa Mbeya,Mh. Mary Mwanjelwa akizungumza machache.
Waziri Mkuu,Mh. Mizengo Pinda akisisitiza jambo wakati akiwahutubia wakazi wa mji wa Mbeya mjini mara baada ya uzinduzi wa Soko la Mwanjelwa.










No comments: