All Right Receved by MR.PENGO 2016

Sunday, January 11, 2015

ZIARA YA NAIBU WAZIRI WA MAJI AMOS MAKALLA MBEYA VIJIJINI.

Naibu Waziri wa Maji Mhe Amos Makalla katika Akipanda mti chanzo cha Ndoba- kijiji cha Galijembe
Naibu Waziri wa Maji Mhe Amos Makalla akizindua rasmi mradi kijiji cha Shongo. Kwa picha zaidi BOFYA HAPA
Naibu Waziri wa Maji Mhe Amos Makalla apokelewa kwa shangwe kijiji cha shongo
Naibu Waziri wa Maji Mhe Amos Makalla akizindua Maji kijiji cha shongo
Naibu Waziri wa Maji Mhe Amos Makalla  na mbunge wa Mbeya Vijijini mch Luckson  Mwanjale (kushoto) wakikata utepe kuashiria uzinduzi mradi maji kijiji cha shongo
Naibu Waziri wa Maji Mhe Amos Makalla akiwa na machifu kijiji cha Shongo
Naibu Waziri wa Maji Mhe Amos Makalla akilakiwa na mbunge wa Mbeya Vijijini Mch.  Luckson  Mwanjale
Naibu Waziri wa Maji Mhe Amos Makalla akipokea zawadi kijiji cha Shongo
Post a Comment