Wednesday, January 21, 2015

OFISI YA BUNGE YAKABIDHIWA NA SERIKALI YA CHINA MSAADA WA VIFAA VYA TEHEMA VYENYE TAHAMNI YA DOLA ZA KIMAREKANI LAKI MOJA

Mkurugenzi wa Mipango na Tehama wa Ofisi ya Bunge Sigfred Kuwite akizungumza wakati wa hafla ya makabidhiano ya vifaa hivyo.
Katibu wa Bunge Dkt. Thomas Kashililah akieleza vifaa vilivyotolewa na Serikali ya China kupitia Ubalozi wake hapa nchini kwa ajili ya kusaidia Bunge kutekeleza majukumu yake.
Balozi wa China hapa Nchini Mhe. Dkt. LU Youquing akizungumza wakati wa hafla ya kukabidhi vifaa hivyo vya TEHAMA kwa Ofisi ya Bunge.
Balozi wa China hapa Nchini Mhe. Dkt. LU Youquing akizungumza wakati wa hafla ya kukabidhi vifaa hivyo vya TEHAMA kwa Ofisi ya Bunge
Mazungumzo yanaendelea.
Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akipokea kutoka kwa Balozi wa China hapa Nchini Mhe. Dkt. LU Youquing baadhi ya Vifaa vya TEHAMA vilivyotolewa serikali ya China kwa ajili ya kusaidia shughuli za Bunge. Vifaa hivyo vyenye thamani ya Dola za Kimarekani laki moja vimekabidhiwia leo katika hafla iliyofanyika Ofisi ya Spika jijini Dar es Salaam.
Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akizungumza kutoa neno la shukrani mara baara ya kupokea vifaa hivyo.

Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akimkabidhi zawadi ya picha ya Jengo la Bunge Balozi wa China hapa Nchini Mhe. Dkt. LU Youquing mara baada ya hafla ya kukabidhi vifaa vya TEHAMA.
Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akimkabidhi zawadi ya picha ya Jengo la Bunge Balozi wa China hapa Nchini Mhe. Dkt. LU Youquing mara baada ya hafla ya kukabidhi vifaa vya TEHAMA.
Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akipokea zawadi ya kitabu kilichoandikwa na Rais wa China kutoka kwa Balozi wa China hapa Tanzania Mhe. Dkt. LU Youquing mara baada ya hafla ya kukabidhi vifaa vya TEHAMA.
Spika na Balozi wakifurahia jambo baada ya makabidhiano hayo.
Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda, Balozi wa China hapa Nchini Mhe. Dkt. LU Youquing na viongozi wengine wa Bunge wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya hafla ya kukabidhi vifaa vya TEHAMA Picha na Owen Mwandumbya

No comments: