All Right Receved by MR.PENGO 2016

Sunday, January 4, 2015

GOODLUCKY & SHUKRAN MWAIKAMBO WALIVYO MEREMETA HUKO CHIMALA MKOANI MBEYA.

 Wadau Goodlucky & Shukran Mwaikambo wakiwa kanisani kuajili ya kufungishwa ndoa,katika kanisa la katoliki chimala wilayani mbarali mkowa wa mbeya mnamo tar-27 ya mwezi 12 mwaka 2014.
       Mdau shukran Mwaikambo akila kiapo kwa mashuhuda, hawapo pichani
  Mdau Goodluck akimdunga pete yandoa bi,Shukran Mwaikambo katika kanisa la katoliki chimala mkoani mbeya.
nae bi,Shukran Mwaikambo akimvisha pete ya ndoa bw,Goodluck kanisani.


      Shamla shamla za kuwapokea maharusi nyumbani kwa bi harusi Shukran Mwaikambo


baadhi ya picha kuajili ya kumbukumbu kwa ndugu na jamaa nyumbani kwa bi harusi chimala. mdau Yohana baruti akimpongeza biharusi bi,Shukran Mwaikambo pindi walipo kuwepo ukumbini humo Dully Bway) 

Post a Comment