All Right Receved by MR.PENGO 2016

Sunday, January 25, 2015

DK. SHEIN AWASILI KISIWANI PEMBA LEO.

Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Katibu Mkuu wa CCM Taifa Abdulrahman Kinana mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa karume Pemba ambapo atazindua Sherehe za miaka 38 ya kuzaliwa kwa CCM katikauwanja wa Gombani Wilaya ya Chake chake Pemba jioni leo.
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akivalishwa shada la mauwa na kijana Chipukizi wa CCM baada ya kuwasili katika Uwanja wa karume Pemba ambapo atazindua Sherehe za miaka 38 ya kuzaliwa kwa CCM leo katika uwanja wa Gombani Wilaya ya Chake chake Pemba.
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi wa Chama cha Mapinduzi mara alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Karume Pemba ambapo atazindua Sherehe za miaka 38 ya kuzaliwa kwa CCM leo katika uwanja wa Gombani Wilaya ya Chake chake Pemba,(pichani) akipena mkono na Katibu Mkuu Uenezi CCM Taifa Nape Mnauye.
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi mbali wa CCM alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Karume Pemba leo ambapo atazindua Sherehe za miaka 38 ya kuzaliwa kwa CCM katika uwanja wa Gombani Wilaya ya Chake chake Pemba.
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifuatana na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mwanajuma Majid Abdalla baada ya kupata mapokezi makubwa alipowasili katika uwanja wa Uwanja wa Ndege wa Karume Pemba leo ambapo atazindua Sherehe za miaka 38 ya kuzaliwa kwa CCM katika uwanja wa Gombani Wilaya ya Chake chake Pemba.PICHA NA IKULU.
Post a Comment