Thursday, December 18, 2014

WIZARA YA KAZI ZANZIBAR KWA KUSHIRIKIANA NA (ILO) YAZINDUA KITABU CHA SHERIA ZA KAZI KWA LUGHA NYEPESI.

 Waziri wa nchi ofisi ya raisi,kazi na utumishi wa umma Haroun Ali Suleiman Akizungumza na wageni waalikwa katika uzinduzi wa kitabu cha sheria za kazi kwa lugha nyepesi,katika  hoteli ya Double Tree Shangani mjini Zanzibar.
 Waziri wa nchi ofisi ya raisi,kazi na utumishi wa umma Haroun Ali Suleiman na mkurugenzi wa (ilo) kanda ya Afrika Aeneas c.Chuma wakizindua kitabu cha sheria za kazi kwa lugha nyepesi,katika hoteli ya Double Tree Shangani mjini Zanzibar.
baadhi ya waalikwa walio hudhuria uzinduzi wa kitabu cha sheria za kazi kwa lugha nyepesi,katika  hoteli ya Double Tree Shangani mjini Zanzibar.

No comments: