Tumaini Njole akitumbuiza kwenye uwanja wa Samora mjini Iringa. 
Baadhi ya mashabiki wakicheza muziki wakati wa tamasha hilo.
Mwibaji Upendo Kilahiro akiimba jukwaani.
Mwibaji Upendo Kilahiro akiimba jukwaani.
Emmanuel Mgogo akifanya vitu vyake. 

Baadhi ya mashabiki wakicheza muziki wakati wa tamasha hilo.

Waimbaji
Ambwene Mwasongwe na Solomon Mkukubwa wakiongoza waimbaji wenzao
jukwaani wakati alipokuwa wakiimba kwenye uwanja wa Samora mjini Iringa. 

Upendo Nkone kulia na Tumaini Njole wakicheza jukwaani.
Mwimbaji Bony Mwaitege akifanya vitu vyake jukwaani
No comments:
Post a Comment