All Right Receved by MR.PENGO 2016

Wednesday, December 24, 2014

MR.PENGO ANAWATAKIA HELI YA X-MASS NA MWAKA MPYA WADAU WOTE.

Kameramani wa libeneke hili  kutoka Michuzi Media Group na mmiliki wa blog hii Fadhiri Atick a.k.a Mr Pengo ninapenda kuwatakia heli ya X-Mas na Mwaka mpya wadau wote wa libeneke hili la Mr.Pengo Blog na Michuzi Midia Gruop Kwa ujumla, Vilevile unaweza kutangaza nasi Matangazo Mbali mbali kupitia, Michuzi Blog, Mtaa Kwa Mtaa Blog, Jiachie Blog Habari na Matukio,Michuzi Matukio na Mr.Pengo Blog Kwa mwaka 2015, kwa habari na matukio mbalimbali usisahau kutazama Michuzi Tv. You Tube kila siku.

Post a Comment