All Right Receved by MR.PENGO 2016

Thursday, December 11, 2014

MAMBO YA MNUSO.


siunajua tena mambo ya sherehe,hususani muda wa maakuli,vituko mbali mbali hujitokeza,leo kitaa kimoja kilichokua kinafanya hafra ya shelehe ya harusi,mzee wa mtaa kwa mtaa kamakawa kutia guu kwenye mnuso huo na kukuta hali halisi kwa watoto wakigombea ubwabwa kwenye mnuso huo.
watoto wakiwa kwenye harakati za kujitafuna tafuna kwa uoga,kwakua alie kamatia plate ndo mbabe kuliko wenzie.
kutoka kushoto dogo akiwa ameambulia tonge kwa kumpiga kini macho mbabe wao konani.
Post a Comment