Friday, December 12, 2014

KUNA SHULE KWELI HAPA.


Katika matembezi ya apa na pale tumefanikiwa kunasa taswira ya wanafunzi wakipiga kitabu kwa majadiliano,lakini usomaji wao unatia mashaka kwani anae mpa vitu mwezie kwa maelekezo ya apa na pale,dogo yuko bize kusikiliza ngoma mpya ndani ya headfone zake,kwamafikilio yako mdao elimu tunaikomboa au imetukomboa.

No comments: