All Right Receved by MR.PENGO 2016

Sunday, November 2, 2014

USIKU WA ZAX 4 LIL TAR,08,MWEZI HUU NDANI YA NEBANA PUB.

Msanii wa kizazi kipya zax four lil,anaye fanya vizuri katika tasnia ya muziki wa kizazi kipya jijini mbeya,anatarajia kufanya bonge la show ndani ya nebana pub,iliopo jijini mbeya,siku ya tar,nane ya mwezi wa kumi na moja,kwa kiingilio cha shilingi elfu tatu,3,000 tu,mlangoni,kuanzia saa kumi na mbili jioni hadi majogooo,atasindikizwa na wasanii kibao kutoka grean city,Mbeya,hii sio yakukosaaa.
Post a Comment