All Right Receved by MR.PENGO 2016

Sunday, November 2, 2014

HARUSI YA VUMILIA YASSIN KAPARATA,ILIFANA SANA JIJINI MBEYA.

Harusi ya Vumilia Yasinni Kaparata ilifana sana,ilio fanyika tar,30,octobar,2014 nyumbani kwao Isyesye jijini Mbeya.Picha zote na Fadhil Atick.

 picha za pamoja baada ya kufunga ndoa  katika hafra hiyo ya harusi ya Vunilia Yasinni Kaparata.
 Dua baada ya ndoa ya kuwakumbuka ndugu na jamaa walio tangulia mbele za haki katika hafra hiyo ya harusi ya Vumilia Yassin Kaparata.
                    Vijana wa madrasa kutoka soko matora wakifanya yao.
mzee wa nyama choma akipiga mixing zake katika jiko lake la nyama            choma.
 wazazi wa bi harusi Vumilia Yassin Kaparata wakiwa katika pozi,wanne kutoka kulia baba mzazi mzee Yassin Kaparata akijadili jambo na binti yake.
                         waalikwa wakizungumza jambo katika hafra hiyo


 utambulisho wa ndugu wa biharusi kutoka kwa Vumilia Yassin Kaparata.
               Baadhi ya wageni wa halikwa walio hudhuria hafra hiyo.
             waalikwa wakiselebuka na muziki murua katika hafra hiyo
 Mdogo wa biharusi,na mshereheshaji Amina Yassin Kaparata akifanya yake katika harusi ya dada yake Vumilia Yassin Kaparata.
 muda wa maakuli,Bi harusi Vumilia Yassin Kaparata akiongoza msafaraa.

 zawadi ya dada kutoka kwa Amina Yassini Kaparata ya kumpongeza kwa kuwaletea bwana shemejiiii.
                               picha ya pamoja ya familia ya mzee kaparata.
Post a Comment