Monday, February 13, 2017

RC MAKALLA AKAGUWA BARABARA ZA JIJILA MBEYA NA KUKAGUWA MAZINGIRA YA JIJI LA MBEYA...

MKuu wa Mkoa wa Mbeya Mh Amos G. Makalla akizungumza na wananchi wa eneo la kabwe katika uzinduzi wa kituo cha Askari wa usalama barabarani katika ziara ya kutembelea maeneo mbalimbali ya Jiji la Mbeya kukagua baadhi ya Shughuli za serikali kwa kukagua barabara iendayo Veta kupitia Ilomba
Katika ziara hiyo Makalla aliongozana na Viongozi mbalimbali waandamizi wa serikali akiwemo Meya wa Jiji la Mbeya, Mbunge Joseph Mbilinyi, madiwani wote wakimuunga mkono Mkuu wa Mkoa kwa jitihada anazofanya kwa mapenzi makubwa kwa wana Mbeya.
Aidha, Makalla alifanya Ziara katika eneo la Kabwe kwa ajili ya kuzindua Uwekwaji wa Kituo kidogo cha Polisi wa barabarani kilichodhaminiwa na Usangu Logistics.
Mh.Makalla ameushukuru Uongozi wa Usangu Logistics na kuwaomba wananchi kwa ujumla kutunza Kituo hicho kinachohamishika.
.....
 Mkuu wa mkoa wa mbeya Mh.Amos Makalla akiwa ameongozana na baadhi ya maafisa usafilishaji wa eneo la kabwe pamoja na wananchi wa jiji la Mbeya kuelekea katika maeneo yaliyo tengwa kuajikli ya kutengeneza Bustani jijini Mbeya.
  Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mh.Amos Makalla kulia sanjari na mbunge wa jimbo la Mbeya Mjini Mh.Sugu katika mazungumzo ya kuweka Mazingira ya jiji la Mbeya kuwa safii..

No comments: