Tuesday, January 17, 2017

TASWIRA MBALIMBALI ZIWA TANGANYIKA...

Baba na mwana wakiwa kwenye chombo cha usafiri wa majini ziwa Tanganyika kama ambavyo kamera yetu ilivyo kuwa ikingazia taswira mbalimbali katika ziwa Tanganyika.
Mvuvi wa samaki akiwa windoni...
Moja ya wakazi wa eneo la Kilando jirani na Ziwa Tanganyoka kutokea mkoani Rukwa wilaya ya Ngasi wakikatiza kandokando ya Ziwa Tanganyika..
Mti wa Mnazi wenye kumeremeta pembezoni mwa ziwa Tanganyika, Mti wenye tangazo la kukataza
Kuoga bila nguo ndani ya maji ya ziwa Tanganyika pamoja na kukataza uharibifu wa mazingira katika eneo hilo.
PICHA NA MR.PENGO WA MMG

No comments: