Waziri wa Habari, Burudani, Tamaduni na Michezo Mh.Nape Nnauye akiwa amevaa Jezi ya Timu ya Mbeya City huku akiwa amening'iniza Jezi ya Coast Union Bega la Kushoto wakati akizungumza na Vyombo Mbalimbali vya Habari Mara baada ya Mtanange huo wa Mbeya City fc na Coast Union kumalizika,huku Timu ya Coast ya Union Ikiwa Imebugizwa na Mbeya City fc wakoma kumwanya Goli Nne kwa Sifuri, Wafungaji ni Ditram Nchimbi, Hassan Mwasapili, Tumba Swedi na Salvatory Nkulula.
Gori Kipa machachali na Mkongwe wa Soko Nchini Juma kaseja katika Ubora wake Lango la Mbeya City fc halipo Pichani.
Baadhi ya Wachezaji na Mashabiki wa Timu ya Mbeya City fc wakishangilia Ushindi wa Gori Nne Uwanja wa Sokoine Jijini Mbeya.
PICHA ZOTE NA MR.PENGO MMG MBEYA.
No comments:
Post a Comment