Muwakilishi wa Globu ya Jamii Bwana Fadhiri Atick a.k.a Mr.Pengo ambae pia ndiye Msimamizi Mkuu wa Timu ya Vijana wenye Umli wa Chini ya Miaka 18 akikabidhi Jezi kwa Vijana wa timu ya M.P FC (Mr.Pengo Football Club) Waliopo Jijini Mbeya wenye Vipaji vya kucheza Mpira wa Miguu.
Kutoka Kulia ni Fadhili Atick a.k.a Mr.Pengo akiwa na Kijana wake Dominick katika Picha ya pamoja mara baada ya Kuwakusanya Vijana wenye Vipaji vya Kucheza Mpira wa Miguu na kuunda Timu kwa Vijana wenye Umri chini ya Miaka 18 kwa Lengo la Kuwaandaa na kuwaepusha Vijana kutofikiri au Kutenda Mambo Mbalimbali yasiyo Faa katika Jamii kama kuvuta Bangi, Kucheza Kamali, Wizi na Udokozi, kuwaweka vijana kuwa Ngangari na pia kuendeleza Vipaji kwa Vijana hao.
Baadhi ya Wachezaji wa Timu ya Mr.Pengo Football Club (M.P FC) wakiwa katika Pozz
No comments:
Post a Comment