Monday, March 7, 2016

MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA AKUTANA NA BALOZI WA CONGO NCHI TANZANIA LEO.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Balozi wa Congo Nchini Tanzania Mhe. Mutamba Jean Pierne, wakati Balozi huyo alipomtembelea Makamu wa Rais Ofisini Kwake Ikulu Dar es salaam leo March 07, 2016.

No comments: