Tuesday, March 8, 2016

BENKI YA CRDB TAWI LA WATER FRONT WASHEREKEA SIKU YA WANAWAKE KWA KUMWONA MGONJWA WA SARATANI BI. SAKINA

Mkurugenzi wa Benki ya CRDB tawi la Water front, Donath Shirima akiwakaribisha wateja wa akaunti ya MALKIA katika tawi la Water Front leo jijini Dar es Salaam, kwaajili ya kusherekea Siku ya wanawake duniani ambayo hufanyika kila Machi 8 kila mwaka.
Keki ya wanawake waliofungua akaunti ya MALKIA katika benki ya CRDB tawi la water Front, kwaajili ya kusherekea siku ya wanawake duniani ambayo hufanyika Machi 8 kila mwaka.
Mstaafu wa Benki ya CRDB tawi la Water Front jijini Dar es Salaam, Adelaida Bishagazi akikata keki kusherekea siku ya wanawake duniani ambayo hufanyika Machi 8 kila mwaka.
---------------------------------------- 
Mara baada ya kusherekea siku ya wanawake Duniani ambayo hufanyika kila mwaka Machi 8, wafanyakazi wa benki ya CRDB tawi la water front jijini Dar es Salaam wameenda mali zaidi kumsaidia Mgonjwa wa ugonjwa wa Saratani kutoka mkoani Kigoma, Bi Sakina ambaye alikuwa akipewa matibabu katika Taasisi ya Saratani ya Ocean Road jijini Dar es Salaam.
Katibu  Mutasi (Secretary)wa benki ya CRDB tawi la Water Front, Batseba Mwakalobo akimkabidhi Dawa pamoja na Sindano za Saratani Bi Sakina mkazi wa mkoani Kigoma.
Meneja  huduma kwa wateja wa benki ya CRDB tawi la Water Front, Mary Ngowi akimkabidhi Dawa pamoja na Sindano za Saratani Bi Sakina (kulia)mkazi wa mkoani Kigoma ambaye alikuja kwaajili ya matibabu jijini Dar es Salaam.
Katibu  Mutasi (Secretary)wa benki ya CRDB tawi la Water Front, Batseba Mwakalobo akiwa na familia ya Bi. Sakina jijini Dar es Salaam walipo watembelea jijini Dar es Salaam leo.
Katibu  Mutasi (Secretary)wa benki ya CRDB tawi la Water Front, Batseba Mwakalobo akimhudumia mteja wa akaunti ya MALKIA leo katika tawi lao jijini Dar es Salaam.




Zawadi.
Mkurugenzi wa Benki ya CRDB tawi la Water front, Donath Shirima akiwalisha keki baadhi ya wanawake na kuwaunga mkoano katika siku ya wanawake duniani ambayo hufanyika kila mwaka Machi 8. 





Shampaini ikifunguliwa. 
 Shampaini ikigawa kwa kilwa mwanamke mwenye akauti ya MALKIA leo jijini Dar es Salaam.
Wanawake wenye akaunti ya Malkia katika benki ya CRDB tawi la Water Front wakigonganisha glasi kwaajili ya kusherekea siku ya wanawake duniani.









 Wateja wa Malkia wakipata zawadi zao leo katika benki ya CRDB Tawi la water Front Leo kwaajili ya kusherekea siku ya wanawake duniani ambayo hufanyika kila Machi8 kila mwaka.




Keki
 Baadhi ya wafanyakazi wa benki hiyo wakiwa katika picha za pamoja,

 Wageni mbalimbali waliofika katika kusherekea siku ya wananwake duniani na benki ya CRDB tawi la water  front jijini Dar es Salaam leo.
Picha na Avila Kakingo wa Globu ya Jamii.

No comments: