Wednesday, February 24, 2016

TASWIRA MBALIMBALI KATIKA MTANANGE WA AZAM FC NA TANZANIA PRISON ULIOCHEZWA KATIKA UWANJA WA SOKOINE JIJIINI MBEYA KWA KUTOKA SALE YA BILA KUFUNGANA...

   Mtanange wa Azam Fc na Tanzania Prison uliochezwa katika Uwanja wa Sokoine Jijini Mbeya Ngoma Droo ya bila Kufungana ikiwa nimuendelezo wa Ligi kuu ya Vodacom Tanzania Bara....      
   Baadhi ya Mashabiki Kinazi wa Mpira wa Miguu wakiwa Uwanjani kushuhudia Mtanange huo uliochezwa katika Uwanja wa Sokoine Jijini Mbeya...
 Wachukuwa Taswira Wakirekodi Mtanange huo..
makocha wakielezea hali za timu zao mara baada ya mtanange huo kumalizika.

No comments: